MAADHIMISHO YA SIKU YA USIKIVU DUNIANI YAADHIMISHWA ZANZIBAR

Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Harusi Said Suleiman akiwahutubia wananchi walioshiriki maadhimisho ya siku ya Usikivu Duniani katika Viwanja vya Mapinduzi Michezani Mjini Unguja Jamii nchini imetakiwa kwenda hosptali mapema kutafuta matibabu ya Maskio pale tu wanapoanza kuhisi tatizo badala ya kusubiri hali ya afya kuwa mbaya. Kufanya hivyo kutasaidia kwa kiasi kikubwa […]

Loading