WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ASISITIZA KUTUMIA MFUMO MPYA WA TEKNOLOJIA ILI KUWEZA KUHIFADHI VIZURI KUMBUKUMBU ZA DAWA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika  mkutano wa kusaidia kazi zinazohusiana na Dawa na Vifaa Tiba kwa Serikali ya Zanzibar na Global Helth Supply Chain hafla iliofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohammed amesema kuwa huduma za dawa zinazonunuliwa na Serikali pamoja zinazotolewa […]

WIZARA YA AFYA YATILIANA SAINI MKATABA WA UNUNUZI WA DAWA NA BOHARI KUU YA DAWA MSD ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Jamala Taibu kulia akitiliana saini na Meneja wa Kanda ya Dare-es-Salaam Bohari kuu ya Dawa MSD Celestine Haule  mkataba wa makubaliano wa Ununuzi wa Dawa baina ya Wizara ya Afya na Bohari kuu ya Dawa MSD hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. Wizara ya […]

Loading