MAADHIMISHO YA SIKU YA UNAWAJI MIKONO DUNIANI.

Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii,Wazee Jinsia na Watoto Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akisisitiza juu ya umuhimu ya unawaji Mikono, katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani, huko Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul- Wakil Kikwajuni Mjini Zanzibar. Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe Nassor Ahmed Mazrui amewataka wananchi kunawa mikono ipasavyo  ili kujikinga na […]

MKUTANO WA WATENDAJI WA SERIKALI KUHUSU MASUALA YA WAZEE ZANZIBAR

 Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) Aboud Twalib, akizungumzia kuhusu haki na Stahiki mbali mbali zinazowahusu Wazee, katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Wa Watendaji wa Serikali kuhusu Masuala ya Wazee Zanzibar, uliyofanyika Ukumbi wa Uzazi Salama Hospitali ya Maradhi ya akili Kidongo Chekundu Mjini Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya […]

WAZIRI WA AFYA ATEMBELEWA NA BALOZI WA NORWAY

Waziri wa Afya , Ustawi wa Jamii,Wazee Jinsia na Watoto Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akimkabidhi zawadi ya Kitabu chenye historia ya Zanzibar ndani yake  Balozi wa Norway Elisabeth Jacobsen, wakati alipokuja Kumtembelea Waziri huyo Wizarani kwake Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar, na kumuahidi kuletawatafiti kutoka Norway kufanya Utafiti katika masuala ya Afya za dawa na Miti shamba […]

WAZIRI MAZRUI ATEMBELEA KMKM

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na watendaji wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (hawamo pichani) mara alipofika hospitalini hapo  kuwatembelea,kushoto ni Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Komodo Azani Hassan Msingiri. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui […]

Loading