WIZARA YA AFYA YAPOKEA VIFAA TIBA KUTOKA CHINA

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk.Abdulla Sleiman Ali, akipokea boksi la Vifaa tiba, vitakavyotumika kwa ajili ya upasuaji wa Ngiri katika Hospitali ya kivunge Unguja na Chakechake kwa upande wa Pemba vifaa hivyo ni msaada kutoka Serikali ya watu wa China Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia , na Watoto, imepokea msaada wa […]

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AIPONGEZA BOHARI YA DAWA (MSD)

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)’ Meja Jenerali Dkt. Gabriel Saul Mhidze. akiwa ameongozana na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmend Mazrui wakati akimkaribisha  alipotembelea Bohari hiyo jana kujionea shughuli mbalimbali inazozifanya WAZIRI wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mzrui ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa hatua kubwa […]

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA KUTOKA KWA SERIKALI YA WATU WA CHINA

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor AhmedMazrui ameahidi kudumisha ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi yaZanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya watu wa China ili kuinua Uchumi waNchi. Akizungumza na Balozi Mdogo wa China aliopo Zanzibar na ujumbe wake,wakati akipokea msaada wa Dawa kutoka Serikali ya Jamuhuri ya watu waChina […]

TAMKO LA SERIKALI JUU YA UPATIKAN AJI WA KADI MAALUM KWA WALIOCHANJWA CHANJO YA UVIKO-19

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutoa vitambusho  maalum vya uthibitisho wa chanjo ya Uviko-19 kwa wale wanaokamilisha dozi ya chanjo hiyo. Akitoa taarifa ya serikali kuhusiana na Upatikanaji wa Vitambusho vya Chanjo ya Uviko-19 kwa waandishi wa habari Waziri wa Afya, Ustawi wa Jami, Jinsia na Watoto Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, amesema serikali inatoa […]

Loading