WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDA) WAPIGA MARUFUKU CHOKLET NA JUISI FRUIT ZILIZOMO KWENYE VIFUNGASHIO AINA YA BOMBA LA SINDANO

Mkurugenzi Idara yaUdhibiti Usalama wa Chakula (ZFDA) Dr. Khamis Ali Omar akitoa taarifa kwa wandishi wa habari ya marufuku ya uuzaji wa choklet na fruit juisi zilizomo kwenye kifungashio kinachoonekana kama bomba la sindano. Wazazi na Walezi nchini wametakiwa kuepuka… Read moreWAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDA) WAPIGA MARUFUKU CHOKLET NA JUISI FRUIT ZILIZOMO KWENYE VIFUNGASHIO AINA YA BOMBA LA SINDANO

UCHUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE WAFANYIKA ZANZIBAR.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Uchunguzi na Utibabu wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake inayofanywa na madaktari Kutoka China Ikiwa ni muendelezo wa awamu ya Pili ya Mradi wa miaka Mitano  uliofanyika… Read moreUCHUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE WAFANYIKA ZANZIBAR.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya ameshauri kuongeza ushirikiano baina ya watendaji wa Taasisi zilizomo ndani ya Wizara.

Mkurugenzi Mkuu Bohari ya Dawa  Zanzibar Zahran Ali Hamad  akizungumza na Washiriki wa Mkutano wa Tathmin  ya Dawa huko  Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar (Kulia) Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya  Halima Salum… Read moreNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya ameshauri kuongeza ushirikiano baina ya watendaji wa Taasisi zilizomo ndani ya Wizara.

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AHUTUBIA SIKU YA WACHANGIAJI DAMU DUNIANI MWANAKWEREKWE ZANZIBAR

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika hafla ya siku ya Wachangia Damu Duniani(WORLD BLOOD DONOR DAY)iliofanyika Uwanja wa Mwanakwerekwe Sokoni mjini Zanzibar. Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed amewataka wananchi waongeze juhudi ya kuchangia damu  ili kuokoa… Read moreWAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AHUTUBIA SIKU YA WACHANGIAJI DAMU DUNIANI MWANAKWEREKWE ZANZIBAR