WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AFANYA ZIARA KITENGO CHA MARADHI YA MOYO HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya ziara maalum  katika kitengo cha Watoto wanaosumbuliwa na maradhi ya Moyo  Hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar.  Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar inatarajia kujenga Taasisi ya Kitengo cha Maradhi  ya Moyo kata kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati ili kupunguza gharama za matibabu […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akipeana mikono na  Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla ikiwa ni ishara ya kupokea kwa Msaada wa Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuia hio wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar. WAZIRI wa Afya Zanzibar, […]

NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI AWAAGA MADAKTARI WA KICHINA ZANZIBAR

Mgeni Rasmi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akitoa hotuba kuhusiana na maradhi ya shingo ya kizazi katika hafla ya kuwaaga wafanyakazi 18 wa kichina waliokuwa katika Mradi wa awamu ya Pili ya Upimaji na utibabu wa Maradhi ya Shingo ya Kizazi hafla iliofanyika Katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AZINDUA CHANJO YA HOMA YA INI KWA WAFANYAKAZI WA AFYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya Hamad Rashid akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali Mnazi mmoja katika Ukumbi wa Hospitali hio mjini Zanzibar.  Waziri wa Afya Hamad Rashid akimkabidhi Muuguzi Zaina Udi Mwinyi Boksi la sindano za Chanjo ya Homa ya Ini ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Chanjo hio […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na  Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani ambayo itafikia kilele chake tarehe 28 Julay 2019 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar  Serikali kupitia Wizara ya Afya Zanzibar imeahidi kushirikiana na sekta mbalimbali za ndani na nje […]

UCHUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE WAFANYIKA ZANZIBAR.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Uchunguzi na Utibabu wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake inayofanywa na madaktari Kutoka China Ikiwa ni muendelezo wa awamu ya Pili ya Mradi wa miaka Mitano  uliofanyika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.kulia ni Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman.  Waziri wa […]

Loading