KITENGO CHA MARADHI YASIYOPEWA KIPAUMBELE KUMALIZA MARADHI YA KICHOCHO NA MATENDE IFIKAPO MWAKA 2030 ZANZIBAR

Kaimu Meneja Kitengo cha Maradhi yasiyopewa kipaumbele Salum Mohd Aboubakar akitoa taarifa ya maradhi Kichocho, Matende na Minyoo katika mkutano wa tathmini uliofanyika Kitengo Shirikishi cha Mama na Mtoto Kidongochekundu Zanzibar. Wizara ya Afya Zanzibar kupitia Kitengo cha Maradhi yasiyopewa… Read moreKITENGO CHA MARADHI YASIYOPEWA KIPAUMBELE KUMALIZA MARADHI YA KICHOCHO NA MATENDE IFIKAPO MWAKA 2030 ZANZIBAR

MAFUNZO YA MADAKTARI WA WATOTO WACHANGA KUTOKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI YAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk. Fadhil Mohd Abdalla akifungua Mafunzo ya siku tano ya madaktari wa watoto wachanga kutoka nchi za Afrika Mashariki na Kati katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Zanzibar. Mkurugenzi Kinga na Elimu… Read moreMAFUNZO YA MADAKTARI WA WATOTO WACHANGA KUTOKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI YAFANYIKA ZANZIBAR