WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AFANYA ZIARA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KIVUNGE

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akiwa katika Ziara ya  kutembelea Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja (kushoto) Daktari dhamana wa Hospitali hiyo Tamim Hamad Said. WAZIRI wa Afya Hamadi Rashid Mohammed amesema amefurahishwa na ujenzi unaoendelea huko… Read moreWAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AFANYA ZIARA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KIVUNGE