MAFUNZO KWA WAFAMASIA
Mfamasia Mkuu wa Serikali Habibu Ali Sharifu amewataka wafamasia kuwa waaminifu katika utendeji wa kazi zao ili kutekeleza maadili ya kazi kufanya hivyo kutaisaidia azma ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure . Hayo ameyasema huko katika ukumbi wa Shekhe Idrisa Abdulwakili,kikwajuni wakati wa mafunzo kwa wafamasia wa Zanzibar amesema si mwema wafamasia kukosa uwadilifu […]